Mmiliki wa lebo ya ya YOUNG MONEY CASH MONEY BROTHERS (YMCMB) Lil wyne amesema anaapanga kuacha muziki baada ya kuachia albamu yake ya mwisho inayokwenda kwa jina la ''THE CARTER V''
Hayo aliyasema pale alipokuwa akiojiwa katika channel ya MTV News na mtangazaji swy nakuongeza ''najua nyote mnaitaji niwepo kidogo lakini albam yangu ya Carter V ndo ya mwisho''
''Kwani nimeanza kurapm toka nikiwa na umri wa miaka nane'' Aliongeza hivyo
Post a Comment