Nyota anayezid kupata umaarufu mkubwa duniana nayejulikana kama Lady gaga hiv karibun amekuwa akifanya show zenye vioja na kuwacha mashabiki wakiwa namshangao,hivi majuzi alitoa kiaoja baada ya kuinama akiwa stajeni huku suruali yake aliyo vaa alikuwa imeachia na kuacha baadhi ya sehemu zake za maungo ya nyuma wazi........



Pia Lady gaga ameonekana kutojali kabisa kkutokana na hiki kinachotokea stejin na kuwaacha mashabiki mdomo wazi.......

Post a Comment

 
Top