Jamaa aliye lala hapo chini anasadikika kuwa ni mmoja ya vibaka wanaofanya vitendo vya ujambazi chuoni St John ambapo alikamatwa asubuhi ya leo mara baada ya wanafunzi kufanya msako baada ya mmoja wao kuuibiwa laptop yake chuon hapo ndipo alipo kutwa akishanga na kujulikana kuwa alikuwa mmoja wapo kati ya watu wanaoendesha vitendo vya uhalifu chuoni hapo.. 


Hapa ni mkuu wa chuo cha St John akizungumza na wanafunzi 






















Post a Comment

 
Top