



Rapa Ney wa mitego,
alipata ajali mbaya ya gari maeneo ya Oysterbay jijini Dar na mguu wake
ukashtuka kidogo, ila rafiki yake aliekuwa nae, ameumia kichwani na jana ndio
aliruhusiwa kutoka hospitali
Ajali hiyo ilitokea usiku wa juzi kumka jana maeneo ya mataa ya St Peters, alipokuwa
akitokea masaki kuelekea moroko, na
baada ya mataa yake kumruhusu kupita, alikutana na Lori lililokuwa
likitokea Mjini kuelekea Moroko pia, likiwa halina taa na kumvaa kwa nyuma na
kupelekea gari lake kuingia mtaroni na kuharibika vibaya. Gari alilokuwepo nalo
Rapper huyo aina ya Altezza, ina thamani
ya shilingi millioni 14
Post a Comment