Muite Jenifer Kiyaka a.k.a Odama kama wengi
tunavyomfahamu, actress na mmiliki wa
J-filim 4 Life anakaribia kutoka na kazi yake mpya titled “Pain Killer”. Kwenye
movie hiyo ambayo yupo Hemed PHD ndani yake, Jengua,Mzee Chilo na wengine
kibao. Ipo tayari na hizi ni baadhi ya picha za behind the scene na trailer ya
“Pain Killer” ambayo itatoka hivi karibuni.
Post a Comment