Kijiji hicho kipo Mbagala Zakhem, jijini Dar, wasichana kwa
wavulana huenda maeneo hayo kwa ajili ya kujiburudisha kwa starehe ya ngono
ambapo kuna majengo kabisa kwa ajili ya shughuli hii ambayo hufanyika maeneo
hayo pia kuna baadhi ya wanafunzi wa shule za sekondari amabo bado hawajafahamika
huja hapo na kufanya biashara hiyo chafu.
Operesheni iliyofanywa
na waandishi wa habari kutoka media tofauti kwa kushirikiana na jeshi la polisi Jumamosi
iliyopita usiku ambapo ilifanikiwa kuwanasa baadhi ya vijana akiwemo mwanamke
mmoja aliyekutwa akifanya ngono na wanaume wawili (walio pichani).
Hata hivyo, kundi la watu kama wanane wakiwa na nguo
mikononi walitimua mbio baada ya kuona polisi wamevamia chumba kimoja
kilichotengenezwa kwa uzio wa vipande vya magunia chakavu na makaratasi
walichokuwa wakikitumia kufanyia ngono.Jeshi la polisi walifanikiwa kuwakamata watu watatu, wanaume
wawili pamoja na mwanamke aliyejitambulisha kwa jina moja la Semeni waliyekuwa
wakifanya naye mapenzi.
Baada ya kuwatia mbaroni watu hao na kuwafanyia upekuzi,
walikutwa na kondom amabzo hutumia wakati wa kufanya starehe zao katika kijiji
hicho na vipisi vya bangi.Polisi walipo
mhoji Mwanamke huyo( Semeni) alisema vijana hao walimlipa shilingi 5,000 kila
mmoja baada ya kumaliza kazi pia akiweza kumtaja mmiliki wa eneo hilo
anayejulikana kwa jina moja tu la babu Babu baada ya kumaliza kutumia baadhi ya
vyumba vya kijiji hicho humlipa shilingi
2,000 ikiwa kama kodi ya kutumia vyumba hivyo.
Post a Comment