Mama mzazi wa msanii Steven Kanumba ‘Kanumba’ amabye kwa sasa ni
marehemu Frola Mtegoa ameigiza filamu katika muendelezo wa kipaji cha mwanaye
baada ya kuigiza.
katika filamu ya Without Daddy akishirikiana na watoto
waliokuwa wakiigiza na marehemu Kanumba kama Patrick na Jamila, katika filamu
hiyo mama Kanumba kaigiza katika kiwango cha juu. . Ben Blanco akiwa na wasanii
wakali Jamila na mwenzake. Akiongea na FC mkurugenzi wa kampuni ya Big Daddy
Production Irene Kaungwa amesema kuwa filamu ya Without Daddy ni kazi
mwendelezo wa kazi ya marehemu Kanumba iliyotoka siku za nyuma ya Big Daddy.
Post a Comment