Home
»
udaku
» Zari the bosslady vs Chaggabarbie Muke ya Mganda....Hali si Shwari , Warushiana Vijembe Hatari
Kumekucha instagram ni vijembe kwa kwenda mbele wanawake wenye mivuto ya kipekee zari na chagga bebe wapo ulingoni kila mmoja akijitapa kivyake sijui ndo kumgombania Ivan,mie sijui nani mchokozi ila nijuavyo tu boss lady huwa haongei ongei hadi achokozwe, ila hii ya Chagga Barbie Kujinadi Mitandaoni Anatoka na Ivan Baba Watoto wa Zari Imemuingia Kunako :
Soma Vijembe walivyokuwa wanajibishana hapa Chini:
Mukeyamganda ni Chagga barbie yule aliyewahi kuwa Girlfriend wa Prezzo na Kuachana kwa Aibu
Related Posts
- Mke Afumaniwa na Mumewe na Akivunja Amri ya Sita.11 Jul 20150
Mkazi mmoja wilayni Misungwi mkoani Mwanza amepata aibu ya mwaka baada ya kufumaniwa na mumewe ak...Read more »
- Kumbe Nancy Sumari Hawaelewani na Dada yake Nakaya Sumari.30 May 20150
Ndugu wawili walio wahi kuiperesha Tanzania kwenye Anga la sana kupitia Mziki na Urembo Nakaya S...Read more »
- Kanga Moko Anasurika Kubakwa Siku ya Pasaka Chooni.05 Apr 20150
Najua utakuwa unaijua ile ngoma maarufu ya Kanga Moko ambao kwa jina lingine tunawaita Stripp...Read more »
- Mume wa Flora Mbasha Apigilia Msumari Kaburi la Mchungaji Gwajima.01 Apr 20150
Baada ya Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kukataa tuhuma za kuwa a...Read more »
- Picha za Wema Sepetu na Idriss Sultan Usiku Mnene Wakishikana na Kunong'onezana.01 Apr 20150
Ukaribu kati ya Staa wa Bongo Movie Wema Sepetu pamoja na Mshindi wa Big Brother Afrika kwa...Read more »
- Mchungaji Gwajima Ametumwa Kumchafulia Jina Kadinali Pengo kwa Matusi?27 Mar 20150
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo la jijini Dar, Josephat Gwajima ambapo siku chache ...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.