Askari akifungua
majani ya mgomba yaliyoufunga mkono ulionyofolewa hivi karibuni kutoka kwa mwanamke mwenye ulemavu wa ngozi na kufukiwa porini kijijini Miangalua wilayani Sumbawanga ambao akiuonesha
hadharani mbele ya majengo ya
Hospitali ya Mkoa mjini hapa juzi usiku
Februari 14 mwaka huu.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Stella Manyanya wa tatu
kulia akibubujikwa na machozi.
Madaktari wakijitahidi kutafuta mishipa kwa ajili ya
kuongeza damu kwa mwanamke aliyekatwa mkono ambaye pia ni mlemavu.
Post a Comment