Msanii wa
muziki wa Bongo Flava, Q
Chief nae amekuwa
miongoni mwa watu waliojitokeza kuchukua fomu ya kushiriki lile shindano
linalokusanya waafrika mbalimbali na kuwa katika jumba moja la Big
Brother Africa.
Shindano
hilo ambalo linatarajiwa kuanza kufanyika mwishoni mwa mwezi wa tano mwaka huu
ambalo huchukua washiriki kutokea nchi tofauti za Africa na kuishi kwa pamoja
kwa takribani siku 90. Kutoka Tanzania, ma-star waliochukua fomu hizo hadi sasa
ni mwanadada Wema Sepetu, Hemedy na Q-Chief.
Post a Comment