Managing director katika
kampuni ilianzishwa hivi karibuni ambayo inamilikiwa na Diva wa bongo movie
anayejulikana kama Wema Sepetu,Endless
Fame hivi karibu alitangaza nafasi za kazi kwenye kampuni yake
iliyopo Mwananyamala opposite Sophia production. Kwenye tangazo hilo iliyokuwa lililokuwa na sahihi ya
Wema Sepetu mwenyewe, ilikuwa na nafasi zifuatazo kwamba Endless Fame
Films inahitaji wafanyakazi kwenye categories hizi, Graphic designer, Editor,Cameraman
na personal secretary.
Sasa kabla Wema hajatangaza nafasi hizi za kazi, alimsikika
akifunguka kuhusu sifa za secretary ambaye anaitajika na Endless Fame Films
“Personal secretary ambaye anahitajika na Endless Fame FIlms
lazima awe na elimu ya mambo ya u-secretary.Pia lazima awe na muonekano mzuri
ukizingatia Endless Fame FIlm is beautiful kuanzia ofisi na hadi kila kitu. As
long as atakuwa anapokea watu lazima awe down to earth. Hivyo ni baadhi ya
vigezo plus vigezo vigine vitamuwezesha mtu kupata kazi hapa”.
Je una sifa hizo!kama ni hivyo nafasi ni yako sasa.
Post a Comment