STORY:
Bi Chonde ana mjukuu wake yatima, anamlazimisha aolewe na
mume asiyomtaka,kisa mume ni baharia kwa kila kinachosemekana mabaharia
wanatabia wa kuoana wao kwa wao wakiwa safarin.Lakini mjukuu anamkataa mume,kwa
tamaa ya utajiri analazimishwa na anaolewa,kwenye maisha ya shida saana mke
anatoroka kwa mumewe na anasakwa kwa udi na uvumba naye anahangaika
misituni,usiku mchana, (mjini) Ammar anatakiwa aoe na mchumba wake nimapepe
hakubaliki kwao,nini kinamfika hadi hamuoi? Na mjukuu wa Bi Chonde alishawahi
kuahidiwa kuolewa na ammar utotoni mwao, jee ndoa itakua?
Post a Comment