Kutokana kuwa na mkanganyiko juu ya ndoa ya jinsia moja muimbaji maarufu nchini Marekani Beyonce Knoweles ametangaza kuunga mkono ndoa ya jinsia moja kitu ambacho hakikutalajiwa na baadhi ya watu

Aliweka ujumbe huo kwenye ukurasa wake wa picha wa Instagram akiwa ameelezea kwamba kufanya kitendo hiko ni haki ya kila mtu na uamuzi wa mtu binafsi na kila anayeweza kufanya afanye bila ya kusumbuliwa na mtu

Post a Comment

 
Top