Mwanamuziki anaye fanya vizuri kunako gemu ya Bongo fleva
Shaa kwa habari zilizoko ni kwamba yuko mbioni kuachia single yake mpya
inayokwenda kwa jina la ''Lava Lava'' ambayo anatarajia kuachia Audio na Video ijumaa hii ya tarehe 29 March
mwaka huu.
Endelea kutembelea blog na uatapa nyimbo hiyo pamoja na
Video hiyo kutoka kwake.
Post a Comment