Rapper G-Nako kutoka kundi la Nako 2 Nako Soldiers/WEUSI
kutoka A-Town, G Nako ambae kwa sasa anafanya vizuri sana na ngoma yake ya
''Mama Yeyoo'' ambayo amemshirikisha mkali wa RnBanayejulikana kama Ben Pol yuko njiani kurekodi kichupa cha ngoma
hiyoya mama yeyo.
Kutoka twitter ben pol aliachia tweet hii hapa
Arusha ------->>> with my mayne mane @gnakowarawara #Video
— Ben Pol (@IamBenPol) March 26, 2013
Post a Comment