Baada ya Chidi Benzi kumpiga kitu Ngwea, TID alipatwa na
hasira na kupasua kioo cha gari lake, kwa kutumia mkono wake, lakini mwenyewe
amesema hajavunja kwa kutumia mkono bali alipiga punch kwa kutumia key holder
"hawa jamaa wanapigana pigana tu, me wananiuzi
unajua kwanini , kwanini wao wanapigana pigana kila saa tu, huyu mara kampiga
huyu and we all spend time together, at the end of the day wao wanaanza
kupigana, mimi wananiconfuse, wananipotezea concentration ya kazi, but i was
just angry, hata mama ananisema kwanini nimevunja kioo, lakini nimemwambia tu
mama i was just angry thats it"amesema TID
"hakuna sababu ya msingi watu wanapigana tu, watu
wanongea saa zote tupo wote halafu baadae unaona watu wanaanza kupigana,
unauliza sababu eti huyu kanambia mi dogo.. come on man.
mi nimewamind wote wanaopigana na ku disturb peace kwenye
concentration ya kazi, violence inaonyesha sisi ni wajinga" aliendelea
kusema TID
Zaidi msikilize hapo chini akiwa na Gossip Cop ndani ya U
heard
Post a Comment