HII NDO LMBORGHINI YA KWANZA BONGO UNAJUA NI YA NANI SOMA HAPA. A+ A- Print Email Hii ndio Lamborghini ya kwanza kuingia hapa bongo. Gari hii inamilikiwa na alikuwa makamu wa zamani wa Yanga Davis Mosha. Gari ya hii ina thamani ya zaidi ya shilingi bilioni moja na aliinunua kwa Yusuph Bakhresa.
Post a Comment