Watengeneza filamu kutoka Ghana ambao walisha tengeneza filamu ya kwanza
ya ngono ilijulikana kama Adventures Of Wapipi Jay sasa wameiachia filamu ya
pili ya ngono nchini Ghana "Adventures Of Wapipi Jay 2", kwa mara ya
kwanza kabisa Ghana pornographic movie ilitolewa 2007 ambapo ilitoa mstuko
mkubwa kwa watu wengi, hasa wale wanaowatambua wahusika wakuu ktk filamu hii
wakiwalaumu kwa nini wamejiingina katika mradi wa kupotosha jamii na kuharibu
kizazi cha kesho kwa maana ya watoto.
Watengenezaji wa sinema hiyo wanaojulikana kama Wakiki
Entertainment wametoa Part 2, ambayo inauzwa sana miongoni mwa jamii ya Ghana
nje ya nchi. Baadhi wanamini pia inapatikana katika maduka kadhaa nchini Ghana.
Pia katika upande wa production sound tracks ya movie hio
ni kutoka kwa nyimbo za wasanii wanaojulikana nchini Ghana kama akina Lumba, Ofori Amponsah, KK Fosu na wengine. Washiriki
wakuu waliocheza kwenye filamu hii ni wanaume wawili wenye majina Wapipi Jay na K. Bonsu kwa upande wa kike ni
Adjoa, Akosua, Fatima na wengine.
Post a Comment