Movie Staa wa Bongo anayejulikana kama Jack Pentezel ama Jack wa chuz amewashtusha wengi baada ya
Kuamua kubadili dini kuwa Muislamu kisha kuolewa na Mpenzi wake wa Muda anayejulikna
kama Gadner Dibibi. Watu wengine wakiwamo wadau wa tansia hii ya Bongo
movie na wapenzi wa Bongo Movie wamekuwa wakihoji juu ya Ndoa Hiyo iliofungwa
kisiri sana na kwa haraka.Wote hatuna majibu ila tunawatakia familia ya bwana
na bibi Gardner Dibibi kila kheri na Mungu awashushie rehema zake.
Post a Comment