Sunday Mangu ‘Linex’ akiwa na baby mama wake Suvi Rikka.
Msanii wa Bongo
Fleva anaye fanya vizur sana kwenye gemu ya uziki wa muziki wa bongofleva Sunday Mangu ‘Linex’ hivi karibuni pete ya
uchumba demu wake amabye ni mzungu anayejulikana kwa jina la Suvi Rikka sasa kwa habari zilizoko ni kwamba
mama wa linex , Imelda Barnabas amemkata mzungu huyo amabye ndio mchumba wa
mwanae linex na kumchana mwanaye kuwa haitambui pete wala mchumba huyo kwa kuwa
kitendo hicho hakina baraka zake wala za familia.
Huyu ndie Suvi akiwa katika pozi pekee yake.
Post a Comment