Rapper kanye west amesema anataka mtoto wake aitwe North.Rapper huyo amabaye anafanya vizuri bado kwenye gemu ya muziki aliandika majina ya ajabu kwenye list ambayo inadaiwa ni wakati akiwaza atampatia jina gani mtoto wake aliyezaa na mwanadada Kim Kardishian sababu ya yeye kumpa mtoto wake jina la North ni kwamba utamkaji wake (North) ni mzuri hivyo ndio maana akalipendekeza hilo japo mwanadada ajasema chochote kuhusu jina kwa sababu jamii ambayo mwanadada Kim anatokea lina desturi/kawaida  ya kuanza na herufi K.

Post a Comment

 
Top