
Movie mpya ya mwanadada Elizabeth micheal aka Lulu ya Foolish Age ambayo alianza kuitanagazia
soko hata kabla hapata kesi aliyokuwa nayo. Kwa habari zilizoko kuhusu movie ni
kwamba soon watanzania wataipata sokoni.
Katika habari za ndani za hapa na pale ni kwamba eti hiyo movie tayari
imeshapelekwa kwa wahindi tayari kwa kuidurufisha ili iweze kusambazwa mtaani.
Habari hizi hazijawa rasmi lakini chanzo hicho kitoa taarifa hizo.
Post a Comment