Msanii anayefanya vizuri anayejulikana kama Stereo mpya
kutka kwake ni kwamba anatarajia kuachia
ngoma yake mpya ambayo ameshirikiana na mwanamuziki kutoka Kenya, Amani.
Ngoma hiyo itaruka hewani kwa jina la ''KILA KITU'',
ikiwa imefanywa ndani ya studio za Bongo Records chini ya Producer P-Funk
Majani.
Endelea kuwa nasi utaipata ngooma hii hapa.
Post a Comment