Kuna story zina vuma kwamba siku ya uzinduzi wa nyimbo mpya ya Madee – Pombe pale maisha club siku ya Jumamosi iliyopita msanii
wa kizazi kipya Chid Benzi alikuwa nusura azichape na Tunda Man sasa sikiliza hizi
TUNDA MAN ANASIMULIA
Hakuishia hapo tu bali hata chid benzi alkuwa na haya ya
kusema
Post a Comment