Baado hackers wanedelea kutunyasa sana kupitia website zetu kwa kuhack na kuweke madudu
Na watu  IT wa nchi yetu ni wapo wanauweza sana lakin sijui inakuwaje kwamba hacker wanatunyasa kiasi hiki...!!!
Siku za hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa matukio ya aibu ya kuingiliwa kwa mitandao mikubwa ya kiserikali.Cha kushangaza ni kwamba, viongozi wamefumba macho....Kazi yao kuu ni kushughulika na kundi ama watu wanaowapinga.....Hii ni aibu
WEBSITE: http://www.mit.go.tz/

Post a Comment

 
Top