Msanii H. Baba ameamua kujikita katika biashara mpya na kuingiza sokoni bidhaa aina ya pipi zenye jina, picha na chata zake, pipi zinazojulikana kwa jina la "H. BABA & FLORA MAPENZI KWA WATOTO".


 Pipi hizo hizo ambazo zimepabwa na picha yake na Flora mvungi zinazotenenezwa na kampuni ya Tanfrik Limited ya nchini Kenya, tayari zimeanza kuuzwa kwenye baadhi ya maduka na vibanda mbalimbali vya biashara kanda ya ziwa.

Post a Comment

 
Top