Kwa upande wa Elizabeth Lulu ambaye bado anakabilliwa na
kesi mahakamani, watu wanachulia advantage na kufungua account mpya ya twitter
ambako ndipo Lulu ana-spend sana time zaidi ya facebook siku hizi. Kupitia
Instagram Lulu aliandika “Haya lulu mwngne huyo on twitter…..!am tired
jaman…nyie ma lulu nioneeni huruma basi…..!!!nimechoka kusikia case’z
zenu!!!!NIMECHOKA JAMANI“. Accouunt hiyo fake inatumia jina la @Lulu_actress
wakati account halisi ya lulu ni @Hotlulumichael. Kitu pekee ambacho kinaweza
kuwatofautisha lulu fake na wengine ni alama ya Verified ambayo twitter hutoa
kwa watu maarufu.
Post a Comment