Kutoka kwenye website ya Sintah ambayo ni sintah.com kuna
kichwa cha habari cha post moja inayosema kwa THE RETURN OF LULU lakin cha
ajabu ni kwamba comment nyingi zilikuwa za kitofauti sana nilikuta moja
imeandikwa hivi
" Sintah for sure mwambie huyu mtoto akae mbali na
BONITA atamuharibia dakika moja. Jana nilipita pale nje maeneo ya deMage hotel
kwenye duka uchwara la BONITA, nkaona gr la Lulu na kuna gr lingine la mvulana
fulani mtoto wa daaud kanyau aitwae POnchi. Nimejua tu nn kinaendelea mule
ndan,.baada ya dk kadhaa Lulu alitkoka ndn ya duk Nawakaingia kwny gari la
ponchi wakaongea humo then ponchi akaondoka. Plz, plz plz plz naomba awe makini
ikibd akae mbali sana n BONITA. BONITA ni kuwadi mkubwa sana. Ilimradi yy apate
pesa hajali mtoto wala mkubwa. Ntafatulia hii inshu nikupe zaid yalio jiri. I
love lulu kipindi hiki awe makini"
Post a Comment