Mali za nyota wa muziki ambaye aliaga dunia mwezi wa pili
mwaka huu, Goldie Harvey kutoka huko Naijeria, zinatarajiwa kufanyiwa mnada kwa
ajili ya kuchanga fedha za kutoa sapoti kwa mradi wa hisani wa kupambana na
manyanyaso dhidi Wanawake.
Hii ni kwa mujibu wa wosia ambao mwanadada huyu aliacha,
kitu ambacho kinaashiria upendo na nia kubwa aliyokuwa nayo katika kuwasaidia
wanawake wenzake kuondokana na maisha ya kukandamizwa
kupitia taasisi yake ya Project Alert.
Mnada wa mali za mwanadada huyu utafanyika May mosi na
sehemu ambayo shughuli nzima itafanyik
Post a Comment