Katika chuo cha Uhasibu hapa Mjin Arusha vurugu kubwa
zimeibuka kutokana taarifa
nilikupa asubuh kuhusu mwanafunfi mmoja chuoni hapo kuchwoma kisu wanafunzi walitoa
taarifa kwa mkuu wa chuo lakini hakuwapa msaada wowotekutoka chuoni hapo.
Baada ya wanafunzi kuona kuwa chuoni hakuna msaaada
waakamua kuandamana ndipo baada ya
taarifa kufika polisi walifika na kuungana nao wakiwa pamajo na mbunge wa
Arusha mjin mh Godbless Lema.Mbunge alianza
kuongea na wanafunzi wa chuoni hapo na kufankiwa kuwatuliza wanachuo hao maana nyumbani kwa Godbless lema si mbali na chuo hicho.
Baada ya taarifa
kumfikia Mkuu wa mkoa, ilimbidi
aliwasili na kuanza kuzungumza na wanachuo lakini baada ya kugundua
uwepo wa Lema alianza kuongea kwa lugha
mbovu na ndipo wanachuo walipo kasirika na kuanza
kumpiga mawe.
Hali
ilipochafuka,FFU waliingia
kazi ya
kutuliza ghasia...Hali ni mbaya
sana lakini cha kushangaza askari mmoja aliwatonya wanachuo wamfiche Lema
Godbless Lema anasakwa mpaka sasana hajulikani alipo baada ya wanachuo kumficha
kusiko julikana.
Post a Comment