Feza Kessy.
Sifael Paul na Mitandao
LILE Shindano la Big Brother Africa 2013 ‘The Chase’ limeanza Jumapili
iliyopita ambapo Tanzania inawakilishwa na mrembo ambaye ni mwanamuziki
wa Bongo Fleva, Feza Kessy na modo wa kiume nchini, Ammy Nando ambapo
watu wamemuonya mrembo huyo juu ya mambo ya ngono.
Mara baada ya kutajwa kwa jina la Feza ndipo watu wakaanza kudondosha
maoni kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii juu ya uwakilishi wake
mjengoni humo.
Wadau hao walimuomba chondechonde asiwaaibishe kama akina Bhoke Egina
ambao walihusishwa na mambo ya ngono huku wakirekodiwa na video zao
kusambaa mitandaoni hadi leo.
“Chondechonde Feza usituchafulie sifa nzuri ya maadili yetu,…
Post a Comment