Socialite  Huddah Monroe amendelea kua gumzo kwenye media mbalimbali ndani na nje ya kenya sasa week hii siku ya ijumaa ambapo kama kawaida ya vijana na watu mbali mbali hutoka Out na kwenda kwenye kumbi za starehe huku wakiwa wametupia vilivyo lakini hii ya Hudah ni sheeda tizama hapa kivazi alicho kiva ambacho amekopi kutoka kwa  Rihanna




Post a Comment

 
Top