Msimu wa ligi kwa nahodha machachari wa majogoo wa jiji, klabu ya Liverpool, Steven Gerrard umefikia ukingoni baada ya kuthibitishwa kuwa nyota huyo anafanyiwa upasuaji sehemu ya bega wiki hii.
NAHODHA WA LIVERPOOL ATHITIKA KUAFNYIWA UPASUAJI KWENYE BEGA CHEKI PICHA HII

Post a Comment