NYUMBA ILIYOPO MAENEO YA TANDIKA MAGHOROFANI, TEMEKE INAUZWA KWA BEI SAWA NA BURE NA HAUTOAMINI BEI YAKE ....

NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA, CHUMBA CHA KUPUMZIKIA - SEBULE (SITTING ROOM), CHUMBA CHA MAAKULI (DINING ROOM), CHOO, STOO NA KIBARAZA CHA KUJINAAFASI.

KAMA HAITOSHI NYUMBA INA TILES, GYPSUM IMEPIGWA YA KISASA, NYUMBA IPO BARABARANI KABISA NA INAFAA KWA MATUMIZI YA FREMU.

NYUMBA IPO KWENYE KIWANJA CHA KUPIMWA NA SERIKALI NA KINA HATI MILIKI .....

KWA WANUNUZI WA UHAKIKA (SERIOUS BUYERS) WAPIGE SIMU NAMBA +255 (0) 767 488622

Post a Comment

 
Top