hizi
ni picha zikinionesha nikiwa kwenye kushoot video ya nyimbo ambayo
nilishirikishwa kwenye varse ya pili.Nyimbo hiyo iliyofanya vizuri sana
hapa bongo kwenye redio zote kwa upande wa audio hii yote ni kutokana
na stail yangu mpya ya genge.
video hiyo ilishutiwa na dir. john kallage pale ubungo plaza.Kwa sasa
vidoe hiyo imeshakamilika na tayari ilisha tamulishwa eatv kwenye
kipindi cha fnl.
watu wengi wanahisi kuwa mi ni mkenya, lakini mimi ni mtanzania elimu
yangu kuanzia wali mpaka chuo ni hapa hapa tanzania.mwaka mmoja
uliopita nilikuwa Dodoma nikisoma katika chuo cha CBE na sasa nimeamia CBE ya Dar. |
Post a Comment