HABARI YA MLIPUKO-ARUSHA:
CHANZO KINASEMA, BOMU HILO LIMELIPUKA
WAKATI WAUMINI WA KANISA HILO LA
KATOLIKI WAKIENDELEA NA SHEREHE ZA
UZINDUZI WA KANISA HILO JIPYA JIJINI ARUSHA
NA MPAKA SASA HAIJAWEZA KUJULIKANA IDADI
KAMILI YA WATU WALIOJERUHIWA LAKINI
TAARIFA ZINASEMA KUWA KUNA BAADHI YA
WATU WAMEJERUHIWA NA KUWAHISHWA
HOSPITALI KWAAJILI YA MATIBABU NA MPAKA
MUDA HUU HAKUNA ALIYEPOTEZA MAISHA
KUTOKANA NA BOMU HILO.
CHANZO CHA BOMU HILO INASEMEKANA KUNA
GARI AINA YA HIACE ILIFIKA KANISANI HAPO NA
KUSIMAMA BAADAE AKASHUKA MTU ALIYEKUWA
AMEVALIA VAZI MITHILI YA KANZU NA KURUSHA
BOMU HILO, BALOZI WA PAPA NCHINI NDIYE
ALIYEKUWA MGENI RASMI KATIKA UZINDUZI WA
KANISA HILO JIPYA JIJINI ARUSHA NA
AMENUSURIKA KATIKA BOMU HILO ILA WATU
WENGI WAMEJERUHIWA.
ENDELEA KUWA NASI KWA TAARIFA ZAIDI
TUMIA MAANDISHI YA KUELEWEKA KTK POST ZAKO NDO ZITAWAVUTIA WA2 KUIPITIA ZAID BLOG YAKO
ReplyDeleteHUO MFUMO ULITUMIA SIO MZURI KWA CC WASOMAJI