Kamanda David Misime.

Watu wanne waliokuwa wanasafiri kwa basi la kampuni ya Najmunisa wamekufa papo hapo baada ya basi hilo lililokuwa linatoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kupata ajali eneo la Mbande, nje kidogo ya mji wa Dodoma.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo, basi hilo likiwa kwenye mwendo kasi lilipinduka baada ya tairi la mbele kupasuka na kugonga mti, huku wanne hao wakifa papo hapo na wengine wakijeruhiwa vibaya, kiasi cha kukimbizwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma.
Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, David Misime amethibitisha kutokea kwa ajali



SOURCE ziro99 blog

Post a Comment

  1. Mnapotoa habari mnatakiwa kuandika tarehe ya ajali na muda, kama mtu ndg yake amesafiri na hilo basi leo na anasoma habari hii jion mtamchanganya, maana haijulikani ni ajali ya lini? fuateni maadili ya uandishi

    ReplyDelete

 
Top