Paroko
wa Parokia ya Isimani mkoani Iringa,Padri Angelo (katikati) akiwa
katika ibada maalumu ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi,
anarudi kwao Italia.
Mh: Wiliam Lukuvi (MB) akijumuika na baadhi ya wananchi wa jimbo la Isimani kwenye ibada maalumu ya kumuaga Padri Angelo.Waziri
wa nchi ofisi ya waziri mkuu Sera na uratibu wa bunge ,Wiliam Lukuvi
ambaye ni mbunge wa jimbo la Ismani akimfariji msaidizi paroko wa
Parokia ya Isimani Herman Myalla (36) wa Kanisa aliyekuwa amelazwa
Hospitali ya mkoa wa Iringa baada ya kuvamiwa na majambazi juzi
Post a Comment