Kundi la muziki kutoka kule nchini Kenya Sauti Sol weekend walifanikiwa kuja Tanzania ndani ya Mwanza kwa ajili ya show yao.Mwanza walifurai na watu walijaa na wasanii hao kuhit na nyimbo yao ya ‘sura yako’ hizi hapa ni baadhi ya picha wakifanya yao kwenye stage.
Post a Comment