prezzo-new-girlfriend 


Baada ya Staa rapper CMB Prezzo kuachana na Mtangazaji wa Clouds Media Group Diva Loveness Love amekuwa kimya sana kwenye mitandao ya kijamii lakin February 14 ambapo huwa ni Siku ya wapendanao almaaru kama Valentine Day uzalendo ulimshinda baada ya kuonekana akiwa na msichana anayesadikiwa kuwa ni mpenzi wake wake mpya ambapo walikuwa wakionyeshana mapenzi laivu ndani ya Club moja jijini Nairobi huku wakidendeka kama inavyonekana kwenye picha.

Post a Comment

 
Top