Mtayarishaji wa muziki, toka mkoani Morogoro, anayefanya poa sana kwa kazi zake, Vennt Skillz, amesema anatamani sana kufanya kazi na  msanii Godzila king zila.
   Akizungumza nami katika studio za kwaqnza Record  maeneo ya Forest, Vent amesema kwa kweli anamkubali sana Godzela kwa aina yake ya Hip Hop na harakati zake kwa jumla na kufikia hatua kutaka kufanya nae kazi.
   Nilipomuuliza kuhusu kwa watayarishaji hapa Tanzania Vent amesema kwamba anamuelewa sana Marco Chali. Marco ndiye aliyenihamasisha  mpaka kufanya kazi hii. Namuelewa sana bro respect kwake Mtu mzima Marco na naamini nitafuikia Leval zake.
Vennt killz akiwa na Darassa alipotembelea Kwanza Records.

Post a Comment

 
Top