Huu ndio ujio mpya na wanguvu wa msanii mahiri wa kizazi kipya anayefahamika ka jina la Ally Nipishe aliyetamba na kuendelea kuwa juu kwa vibao vingi kama "Nipulika", na hasa "My" kibao kinachowarusha nafsi wapenzi wengi wa mziki wa msanii huyo.

Mtandao huu umepata taarifa za ujio wa kibao kipya;
"Behind The Scene Ally Nipishe Video/Audio- Vimbaga zimefanyika katika Studio za Legendary Music & Video. Producer akiwa ni Bakunde"
CHECK MZIGO MZIMA HAPA CHINI

Post a Comment

 
Top