Jana katika kipindi cha meseto East Afrika cha Citizen Radio, kwa
mara ya kwanza msanii toka Tanzania mwana dada DAYNA NYANGE, aliweza
kupata sapoort kubwa baada ya Host wa kipindi hicho Mzazi Willy Tuva
alipoweza kumtambulisha katika ulimwengu wa muziki wa Afrika Mashariki
na kumbatiza jina jipya la New East African Queen huku akitambulisha
nyimbo zake mbli mbali lakini kubwa zaidi ni wimbo mpya wa mimi na wewe
unaofanya poa kwa sasa ndani ya Tanzania. Pia Willy Tuva alipost katika
mtandao wake wa Instagram na Twitter
Post a Comment