Ni mtoto wa miaka 14 ambaye ana mwili ulio kama mtu wa miaka 110.Mtoto huyu mwenye asili ya India ambaye ana ugonjwa wa ajabu unaomfanya awa mara nane zaidi ya umri wake wa kawaida hii ni kwa muujibu wa madaktari kutoka nchini India.Jina la mtoto huyu Ali Hussein ambaye ndugu zake wengine watano walikufa kutoka na ugonjwa huu ambao kwa kitaalamu unajulikana kama Progeria.
MAAJABU:KUTANA NA MTOTO MWENYE UMRI WA MIAKA 14 LAKIN MWENYE MWILI WA MTU WA MIAKA 110.

Post a Comment