avril5 

avril4   

Msanii maarafu kutoka kule nchini kenya anayefanya shughuli zake za music chini ya label kubwa ya mziki Afrika Mashariki Ogopa Deejays Avril hivi karibuni kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram aliachia picha ya mkono wake wa kushoto akiwa na pete ya uchumba.

Msanii huyu ambaye anadate na boyfriend wake ambaye ni raia kutoka South Africa inasemakana yeye ndio kamvalisha hivyo ndoa yake iko karibu

Post a Comment

 
Top