STAA wa sinema za Kibongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema anapata
wakati mgumu sana kufikiria kitu gani spesho atakachokifanya siku ya
kumkumbuka aliyekuwa mwandani wake, marehemu Steven Kanumba Aprili 7,
mwaka huu katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Home
»
»Unlabelled
» ELIZABETH MICHAEL 'LULU' KIGUGUMIZI KANUMBA DAY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment