Rapper Jay Z amemuimba kwa kumpa pongezi mwanadada  Lupita Nyong'o ambae ni mshindi wa tuzo za Oscar kwenye rap freestyle kwa MC Jay Electronica ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni

Track "We Made It" features Jay Z shouting out Oscar winner Lupita Nyong'o as well as the Oscar-winning mo.

I'm on my Lupita Nyong'o,

Stuntin' on stage after 12 Years A Slave,

This Ace of Spades look like an Oscar,

Black tux, look like a mobster.

Baadhi ya mashabiki wa rapper huyo wameshutushwa na kitendo cha Jay Z kumsifia Mwanadada huyo badala ya mkewe au mtoto wake lakin haikuwa hivyoo

Post a Comment

 
Top