SUPERSTAR DIAMOND PLATNUMZ AWACHANA LIVE BASATA, BAADA YA KUZIONDOA NYIMBO ZA JUX,MADEE NA SNURA KWENYE KTMA 2014 A+ A- Print Email Anaweza kuwa ametajwa zaidi kwenye tuzo za KTMA 2014 lakini Diamond Platnumz hajaliacha Baraza la Sanaa Tanzania likae kwa amani kwa uonevu ilioufanya kwa Jux, Madee na Snura kutokana na kuziondoa nyimbo zao kwenye mchakato wa KTMA 2014.
Post a Comment