download hapa https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhn6PEQDYh3Uax_i-3Ghbx40EIIsSzGJMekWV_8_RVMvmvaJrNk0EAMQL1Wjsn8bTzzACuQEs3Dkc8hjVWocp_gLdh0gkW6ePHR6sp9U-GDfLeif9qBNmCY3xdyBl6WSlbUIQ0ym79KQpk/s1600/1175092_540415089371089_873334703_n.jpg

Kati ya habari zilizomake Headline wiki iliyoisha kwa upande wa habari za burudani ni kumhusu msanii M-Rap kuondolewa katika Label ya B-Hits. Baada tu ya kusambaa kwa habari kuhusu kuondolewa kwa M-Rap kutoka B Hits, M-Rap alitambulisha ngoma yake mpya aliyomshirikisha Jux ngoma inaitwa Usiende mbali. Kama hukupata nafasi ya kuidownload idownload >>>hapa<<<

Pia siku ya leo B Hits wametambulisha wimbo mpya kutoka kwa M-Rap (aliyekua chini ya label yao ) Wimbo unaitwa Nishike humo ndani wamehusika M-Rap na Rasheed. Producer ni Pancho Latino na Hermy B. kwa wale mnaotaka kuudownload mtaupata >>>hapa <<<

Sasa Team nzima ya Bongoclan ikakaa chani na kuamua kuwauliza mashabiki kati ya nyimbo hizo 2 ipi ni kali zaidi. tuanze na ya kwanza kabisa M-rap ft Jux - Usiende mbali hii hapa chini



DOWNLOAD HAPA


 MALIZIA NA HII KUDOWNLOAD
Credit bongoclantz.com

Post a Comment

 
Top