Wadada hawa hucheza
Nyimbo ambazo zimeimbwa na wasanii wengine hasa hupendelea Taarabu au
hata zile zenye Sebene zuri ambazo zimetokewa kupendwa na Watu. katika
Pita pita zangu kusaka habari katika Usiku huo wa pasaka Nilibahatika
Kuingia katika Ukumbi Mmoja na Kukutana na hichi kituko....
Siwezi sema mengi kama
Tujuavyo makundi yanayojiita hili jina yanajulikana nini wanafanya
wawapo stejini Nikaona si Vibaya Ni ka Share na wewe ndugu Msomaji.
Lakini Tunawaomba wawe
wanacheza tu lakini Kufikia Kuvua Nguo Hadharani si Kitendo Cha Busara
kabisa Tuna jua wanatafuta Pesa lakini Pesa kwa kujidhalilisha Hii si
Sawa.
Kitendo Hicho cha Kuvua
Nguo kilileta Tafrani Ukumbini hapo kwa Baadhi ya Wanawake waliokuwemo
na Kutaka show Hiyo kusimamishwa kwani walisema huo ni dhalilishaji wa
wanawake.
Ukitaka video hii nikutumie kwa njia ya whatsapp bofya hapo chini like page yetu nitumie namba yako inbox
Post a Comment